MAGONJWA

Ugonjwa wa presha umekuwa gumzo karibu duniania kote, ambapo watalamu wa afya wameeleza ya kwamba, ugonjwa wa presha ni ile hali ambayo husababishwa na moyo kushindwa kusukuma damu kama inavyotakiwa.

Na miongoni mwa chanzo kinachosababisha ugonjwa huo huenda ikawa ni sababu ya msongo wa mawazo, unene kupindukia, uvutaji wa sigara, mazingira ya mfadhaiko ambayo husababisha mtu kukosa amani ya moyo, uvutaji wa sigara na sababu nyinginezo nyingi.

Na sifuatazo Dalili kuu za Presha.

  1. Uchovu wa mwili.
  2. Matatizo ya macho
  3. Hali ya kichefuchefu na kutapika
  4. Hali ya woga ambao husababisha mstuko.
  5. Kupauka kwa ngozi.
  6. Kupumua kwa shinda

Ila kumbuka ili kuondokana na ugonjwa huu unatakiwa kuepuka visabibshi vya ugonjwa huu, kama ambavyo tumeeleza hapo juu.

Advertisements